Marlaw ft Fundi Samweli~ 'Pamoja (Official Video)

Posted in
No comments
Saturday, May 28, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Baada ya kimya kirefu Msanii wa Bongo fleva, Malima Lawrence, 'Marlaw' amerudi tena kwenye 'game' na wimbo wake mpya, unaoenda kwa jina la 'Pamoja' aliomshirikisha Fundi Samweli. kazi hii imefanyika chini ya Director Jahman. Cheki Video ya wimbo huo hapo chini kisha usisahau kudondosha comment.


Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .