FEZA KESSY "OUT" BIG BROTHER 'THE CHASE'

Posted in
No comments
Monday, August 12, 2013 By danielmjema.blogspot.com



MTANZANIA pekee aliyekuwa amebaki katika mjengo wa Big Brother Africa 'The Chase', Feza Kessy naye ameondolewa katika jumba hilo. Feza ametolewa katika shindano hilo akiwa mshiriki wa 20 kuaga shindano hilo ikiwa ni wiki chache mwenzake kutoka hapa nchini Ammy Nando kutolewa katika mjengo huo.
Feza Kessy.
Feza and IK.
Mshindi wa Big Brother StarGame Keagan akiwa na IK.…
Feza Kessy.
Feza na IK.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .