Hiki ndicho kituko alichowahi kukifanya Refa atakayechezesha mechi ya Fainali UEFA 2016
Posted in
Michezo
No comments
Thursday, May 12, 2016
By
danielmjema.blogspot.com

Clattenburg mwenye umri wa miaka 41 alitangazwa kuwa refa wa kimataifa toka mwaka 2007, lakini siku saba kabla ya kuchezesha mchezo huo wa fainali katika jiji laMilan Italia, atachezesha mchezo wa fainali ya FA Cup Uingereza May 21 kati ya Man United dhidi ya Crystal Palace katika uwanja wa Wembley.
Clattenburg ni moja kati ya marefa bora kwa sasa lakini aliwahi kufurahisha watu pale alipoingia uwanjani akiwa kasahau kadi, wakati faulo inatokea anaangalia mfukoni anajikuta hana kadi hadi alipoletewa.
Tizama Video ya tukio hilo hapa chini:
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :