Monday, May 16, 2016

Mashabiki wa Eskisehirspor ya Uturuki wachoma uwanja moto kutokana na kukerwa na timu yao kufungwa

2
Mchezo huo uliomalizika kwa Eskişehirspor kufungwa goli 2-1, mashabiki walivamia uwanja wao na kuanza kuchoma moto, Eskişehirspor msimu ujao huenda ikashiriki Ligi daraja la pili Uturuki, kutokana na kuwa nafasi mbaya katika msimamo wa Ligi KuuUturuki.
1
4
5
3
1q2q
Tizama Video ya Mashabiki hao walivyochoma uwanja wao Moto

No comments:

Post a Comment