Nuhu Mziwanda amtambulisha 'Baby' wake kwenye Birthday yake
Posted in
No comments
Monday, May 16, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Usiku wa May 15 2016 Msanii kutoka kiwanda cha bongoflevani Nuh Mziwanda alifanya Birthday Party yake aliyoifanyia maeneo ya nyumbani kwake Savey Jiji Dar es salaam, Birthday Party ambayo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali na kumtambulisha mpenzi wake mpya kwenye tukio la kulishana keki. (Source: Ayo Tv)
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako


0 MAOINI :