New Audio: Mayunga ft Akon ‘Please don’t go away’
Posted in
Burudani
No comments
Monday, May 16, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Mshindi wa Airtel Trace Music Star kutoka Tanzania, Mayunga ambaye alipewa fursa ya kufanya collabo na msanii mkubwa wa Marekani Akon, hatimae May 16 ameachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Nyota wa RnB Afrika, Akon ‘Please Don’t go away’ . sikiliza kipande cha wimbo huo hapa:
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :