Rasmi: Manchester United kutumia Milioni 60 kumng'oa Rodriguez Santiago Bernabeu

Posted in
No comments
Monday, May 16, 2016 By danielmjema.blogspot.com


Klabu ya Real Madrid imeipa nafasi Manchester United kumsajili James Rodriguez kwa paundi milioni 60.Kiwango cha Rodriguez (25) kimeonekana kushuka tangu alipohamia kwenye timu hiyo mwaka 2014 baada ya fainali za kombe la dunia akitokea timi ya Monaco kwa ada ya Uero milioni 80. 

Uongozi wa Manchester United bado haujatoa jibu kamili bado wanataka kuhakikisha wanafanya usajili usiowaingiza kwenye hasara kama ilivyowatokea mwanzo kwa Di Maria. Mpaka sasa James Rodriguez ameshaichezea Madrid mechi 55 na kafanikiwa kufunga magoli 20.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .