Vanessa Mdee amjibu Shilole hivi....

Posted in
No comments
Wednesday, May 18, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Baada ya Shilole kuweka picha kwenye akaunti yake ya Instagram, May 17 2016, ambayo wengi wametafsiri ni dongo kwa msanii mwenzake Vanessa Mdee, May 18 2016 Vanessa Mdee ameamua kumjibu Shilole kupitia post hii:
"Nikupe KICKII ujulikane au sio? Kila siku twanyamazaga ndiyo mtugaragaze. Sit the f**k down. Mimi sio uliowazoea. P.s: You ain’t worth this post inashushwa sasa hivi #MessageSent‘"Vanessa Mdee

IMG-20160518-WA0015
Post hiyo ya juu ni baada ya hizi post mbili za Shilole kwenye account yake ya instagram
shishi
IMG-20160518-WA0016

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .