Watoto waruhusiwa kutumia majina ya Baba zao nchini Kenya
Posted in
afrika mashariki
No comments
Thursday, May 26, 2016
By
danielmjema.blogspot.com

Akitoa hukumu hiyo jaji Mumbi Ngugi alisema kuwawatoto wanaozaliwa nje ya ndoa wanakumbwa na ubaguzi. Alisema kuwa kila mtoto ana haki ya jina la babake kuandikwa kwenye cheti chake cha kuzaliwa.
Ruhusa ya baba haitahitajika jinsi imekuwa hadi sasa, ambapo unapata kuwa vyeti vingi vina herufi Xs kwenye nafasi inayostahili kujazwa jina la baba.
Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani na mwanamke ambaye hajaoelewa, ambaye alitaka jina la baba yao kujumuishwa kwenye vyeti vya watoto wake, akidai kuwa wanabaguliwa kwa misingi ya urithi.
Habari Zingine
- WENGI WALIVYOJITOKEZA KUMUAGA MWANA TBN JENNIFER LIVIGHA (CHINGA ONE) HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR
- Wachimbaji mgodi 15 waliokwama ardhini waokolewa nchini Tanzania
- Al-Shabab washambulia kambi ya majeshi ya Kenya nchini Somalia
- UHURU WA HABARI SIO KUIANGALIA TU SERIKALI - MWAKYEMBE
- JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA LATANGAZA KUSUSIA KUANDIKA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :