Cheki viatu vinavyotumia bluetooth kukuelekeza popote uendako
Posted in
Teknolojia
No comments
Monday, June 20, 2016
By
danielmjema.blogspot.com

Teknolojia hii iliotengenezwa na kampuni ya Easy Jet ambapo unaambiwa kama ni mgeni wa sehemu uliofikia na hujui popote unatumia viatu hivyo kwa kuunganisha na simu yako kwa kuunganisha na kifaa hicho kwenye viatu vyako kwa bluetooth na vita kukupeleka popote utakapotaka kwenda kwa miguu yako mwenyewe bila kupotea.
Viatu hivi vimefanyiwa majaribio nchini Brazil kwa mara ya kwanza na vitaingizwa sokoni siku za mbeleni kwa ajili ya watu kuvinunua na kuvitumia kwa matumizi binafsi.
Tazama video hii kujua zaidi kuhusu viatu hivi….
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :