Haya ndio maelezo ya Puma kuhusu ubora wa jezi walizotumia Uswiss dhidi ya Ufaransa
Posted in
Michezo
No comments
Tuesday, June 21, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Uswiss walivaa jezi ambazo zilikuwa zinachanika wakati wa mchezo, endapo tu mchezaji wa Uswiss atavutwa jezi na mchezaji wa Ufaransa, kiasi ambacho kilipelekea winga waStoke City ya England anaichezea timu ya taifa ya Uswiss kutoa kauli ya kejeli kuwa“hafikiri kuwa Puma wanatengeneza Condom”
Leo June 20 kampuni ya vifaa vya michezo ya Puma ambao ndio watengenezaji wa jezi hizo, wametoa kauli ya wameanza kufanya uchunguzi, kutokana na ubora jezi hizo kuwa dhaifu, Uswiss ilifanikiwa kufuzu hatua ya mtoa baada ya kumaliza nafasi ya pili katika msimamo wa Kundi A kwa kutoka sare ya 0-0 na Ufaransa.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :