Hizi ndio Treni mbili za kifahari zinazotengenezwa, nchini Japan, kuanza kutumika May 2017
Posted in
Teknolojia
No comments
Monday, June 20, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Nimekutana na hii stori kuhusu kuanza kutengenezwa kwa Treni za kifahari na siku zitakazoanza kutumika chombo cha habari cha ‘CNN’ wametoa taarifa na headlines zikionyesha kuanza kutengenezwa kwa Treni za kifahari nchini Japan na kuanza kutumika May 2017 na hizi ndio zitakuwa Treni za kifahari zaidi duniani.
Treni hii ya Twilight Express Mizukaze ya JR Magharibi na treni ya Suite Shiki-Shimaya JR Mashariki zitakazo anza kufanya kazi rasmi May 2017, Treni hizi yenye uwezo wa kubeba abiria 30 na kua na wasimamizi 1o.
Treni hizo zitakuwa na madirisha ya vioo zitakavyoweza kuwaonyesha abiria nje na kupata nafasi ya kuona maeneo yote kama Osaka na Shimonoseki,Miyajima, bahari ya Japan, Mlima Daisen na Seto na visiwa vya bahari ya Inland ambavyo vitaweza kuwapa fursa ya kuweza kupiga picha.

Muonekano wa nje wa treni ya Mizukaze

Muonekano wa nje wa treni ya Shiki shima

Sehemu ya kulala ya treni ya Mizukaze

Sehemu ya kulia chakula ya treni ya Mizukaze

Sehemu ya kulia chakula ya treni ya Shiki Shima

Sehemu ya abiria yenye mazingira ya kutazama nje ukiwa ndani ya treni ya Mizukaze

Muonekano wa ndani ya chumba cha kulalia cha treni ya Mizukaze.

Muonekano wa ndani wa chumba cha kulalia cha treni ya Shiki Shima.

Sehemu ya abiria yenye mazingira ya kutazama nje ukiwa ndani ya treni ya Shiki Shima.
Habari Zingine
- Cheki viatu vinavyotumia bluetooth kukuelekeza popote uendako
- Hizi ndio Treni mbili za kifahari zinazotengenezwa, nchini Japan, kuanza kutumika May 2017
- Simu ya Roboti yaziduliwa leo
- Uswisi kuzindua Reli ndefu zaidi Duniani inayopita 'underground' imejengwa kwa miaka 17
- China yatengeneza mabasi yanayopita juu ya magari mengine (tizama Video)
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :