Gesi nyingine yagundulika Tanzania
Posted in
Nishati
No comments
Monday, June 20, 2016
By
danielmjema.blogspot.com

Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni, katika Bunge la Tanzania, mjini Dodoma, mbunge wa Kwela Ignasi Malocha alimuuliza Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo kama kuna ukweli wowote kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kugundulika kwa gesi mpya aina ya helium nchini.
Waziri Muhongo alisema…"Ukweli ni kwamba utafiti umefanywa na vyuo vinavyotambulika duniani, kilichogundulika ni katika ziwa Rukwa na baada ya ni metrick bilion 54.2 na hizo ni taarifa za uhakika‘
Unaweza kuupata mwendelezo wote kwenye hii video…
Habari Zingine
- NAIBU WAZIRI WA NISAHATI NA MADINI AKUTANA NA MAMENEJA WA TANESCO,MKOA LINDI, MTWARA, PWANI NA DAR ES SALAAM
- WADAU WA NISHATI WAKUTANA KUJADILI MWENENDO WA BEI ZA MAFUTA KATIKA SOKO LA DUNIA NA ATHARI ZAKE KWA NCHI.
- WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA MRADI MKUBWA WA REA WA SHILINGI BILIONI 25.7 MKOANI SIMIYU
- WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA MIRADI YA UMEME NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI.
- Gesi nyingine yagundulika Tanzania
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :