Wabunge wa Upinzani nchini Tanzania wametoka nje ya Bunge wakiwa wameziba midomo kama ishara ya kumpinga Naibu Spika
Posted in
afrika mashariki
No comments
Monday, June 20, 2016
By
danielmjema.blogspot.com

Wabunge wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA nchini Tanzania, leo June 20 2016 wameendelea kutoka nje ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa mara nyingine tena, wabunge hao wametoka nje ya Bunge kwa style ya kuziba midomo ambapo wanasisitiza kuendelea kotokuwa na imani na naibu spika Dk. Tulia Ackson.






Tizama AyoTv, ushuhudie ilivyokuwa:
Habari Zingine
- UHURU WA HABARI SIO KUIANGALIA TU SERIKALI - MWAKYEMBE
- JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA LATANGAZA KUSUSIA KUANDIKA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR
- WENGI WALIVYOJITOKEZA KUMUAGA MWANA TBN JENNIFER LIVIGHA (CHINGA ONE) HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR
- Wachimbaji mgodi 15 waliokwama ardhini waokolewa nchini Tanzania
- Al-Shabab washambulia kambi ya majeshi ya Kenya nchini Somalia
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :