Zlatan Ibrahimovic alivyo tembelea sanamu linalotengenezwa kwa ajili yake
Posted in
Michezo
No comments
Wednesday, December 14, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Zlatan Ibrahimovic alipotembelea kuona sanamu hilo. Sanamu hilo ambalo litawekwa kwenye sehemu maalum katika mji wa Stockholm nchini Sweden. Zlatan amekuwa na mchango mkubwa na hamasa katika soka la nchini hiyo.
Kwa sasa ni mchezaji wa Man United lakini akiwa amepata mafanikio makubwa kutoka katika timu mbalimbali zikiwemo Ajax, Inter Milan, AC Milan, Juventus na FC Barcelona.
Bongo5
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :