Warsha ya Mapitio ya Rasimu ya Mpangokazi wa kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira mjini Morogoro

Posted in
No comments
Thursday, June 28, 2012 By danielmjema.blogspot.com

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava akifungua Warsha ya Mapitio ya Rasimu ya Mpango Kazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira kulia Mkurugenzi Msaidizi Mazinira Bw. Stophan Nkondokaya leo Kwenye Hotel ya Top Life Mjini Morogoro[Picha na Ali Meja]
Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Wadau wa Kufanya Mapitio ya Rasimu ya Mpangokazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira Wakimsikiliza Mgeni Rasmi pichani hayupo Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava alipokuwa akifungua warsha kwenye Hotel ya Top Life Mjini Morogoro[Picha na Ali Meja]
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Stophon Mkondokaya[katikati] na  Ofisa Mkuu Idara ya Mazingira Bi Esthar Makwaia mara baada ya Ufunguzi wa Warsha ya Mpangokazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira iliyofanyika kwenye Hotel ya Top LifeMijini Morogoro.[Picha na Ali Meja
Washiriki wa Warsha ya Wadau wa Kufanya Mapitio ya Rasimu ya Mpango Kazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava Huko Morogoro[Picha na Ali Meja]

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .