MTANZANIA WA KWANZA KUPANDA MLIMA EVAREST WILFRED MOSHI AWASILI NCHINI LEO.
Posted in
No comments
Thursday, May 31, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Mtanzania wa kwanza kupanda mlima Evarest,Wilfred Moshi alipowasili nchini leo kwenye uwanja wa Kimataifa wa KIA kutoka Nchini Nepal baada ya kupanda mlima evarest ambao ni mlime mrefu kuliko yote |
Hafla ya kumpongeza Wilfred Moshi. |
Mmiliki wa mtandao wa Tanzania leo(mwenye begi)Rodrick Mushi akimpongeza Willfred Moshi baada ya kuwasili uwanja wa KIA kutokea Nepal baada ya kufanikiwa kufika kileleni na kuwa mtanzania wa kwanza kabisa kupanda mlima evarest. |
Mtanzania wa kwanza kupanda mlima Evarest,Wilfred Moshi alipowasili nchini leo kwenye uwanja wa Kimataifa wa KIA kutoka Nchini Nepal baada ya kupanda mlima evarest ambao ni mlime mrefu kuliko yote akikumbatiana na familia yake mke wake Agness Willfred na watoto wake. |
kijiwe blog ikifanya exclusive na mama mzazi wa Wilfred Moshi Bi Martina kuweza kupata mawili matatu kutoka kwake. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :