TANZANIA YAPATIWA MKOPO WA ZAIDI YA MILLION 30 NA BENKI YA BADE.
Posted in
No comments
Thursday, May 31, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
waziri wa fedha wa Tanzania Dr,Wiliam Mgimwa akiwa mkurugenzi wa benki
ya Badea Abdelaziz Khelef wakibadilishana mikataba ya mkopo mara baada
ya kutia saini
wakibadilishana mawazo
waziri wa fedha wakiwa wanaongozana na waandishi kwa ajili ya kuongea nao
mdada wa libeneke la kaskazini akisalimiana na waziri wa fedha
waziri wiliam mgimwa akiwa anaweka saini ya mkataba wa mkopo wa bilioni 34.5 kutoka katika benki ya maendeleo ya afrika tok nchini uharabuni (BADEA) |
waziri wa fedha zazibar Yusuphy mzee akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari mara baada ya mkopo huo kutolewa
Mwandishi wa habari wa gazeti la majira Pamela Mollel akiwa anabadilishana mawazo na Tiganya
Habari na Libeneneke la Kaskazini.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :