MILAVAN ATANGAZA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AZAM - BOBAN, MKUDE NA UHURU KUANZA
Posted in
No comments
Tuesday, July 24, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Milovan Cirkovic, ametangaza kikosi
kitakachoshuka dimbani leo hii dhidi ya Azam katika Robo Fainali ya
Kombe la Kagame ambapo wachezaji Uhuru Selemani na Jonas Mkude wataanza.
Kikosi kamili ni:
Juma Kaseja,
Haruna Shamte,
Shomari Kapombe,
Juma
Nyoso,
Lino Masombo,
Jonas Mkude,
Mussa Mudde,
Mwinyi Kazimoto,
Felix
Sunzu,
Haruna Moshi
na Uhuru Selemani.
Benchi watakuwepo;
Waziri Hamad,
Obadia Mungusa,
Kiggi Makassi, Salim Kinje,
Kanu Mbiyavanga,
Dani Mrwanda na Amri Kiemba.
Source:http://www.simba.co.tz
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :