Makamu Wa Rais Dkt. Bilal Akutana Na Uongozi Wa Rotary Tanzania

Posted in
No comments
Sunday, July 29, 2012 By danielmjema.blogspot.com

Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Rotary Tanzania na Rais wa Rotary Interantional 2012-13, Sakuji Tanaka, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam kwa mazungumzo jana

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Rotary Tanzania, na Rais wa Rotary International 2012-13, Sakuji Tanaka, baada ya mazungumzo wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, jana


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Rotary International 2012-13, Sakuji Tanaka, baada ya kumaliza mazungumzo wakati Rais huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam jana Julai 28, akiwa na Ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .