PREVIEW HISPANIA NA ITALI LEO

Posted in
No comments
Sunday, July 1, 2012 By danielmjema.blogspot.com


UEFA Euro - Portugal vs Spain,
Hispania 

ok

VIKOSI VYA LEO?

SPAIN

Casillas
Arbeloa, Pique, Ramos, Alba
Xavi, Busquets, Alonso
Silva, Fabregas, Iniesta
ITALY

Buffon
Abate, Barzagli, Chiellini, Balzaretti 
Marchisio, Pirlo, De Rossi
Montolivo
Balotelli, Cassano

KOCHA wa Hispania, Vicente del Bosque anatarajiwa kuwa na kikosi chake kamili katika fainali ya Euro 2012 leo dhidi ya Italia.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 61 kitu kitakachomsumbua labda tu ni kuhusu kumpanga au kutompanga mshambuliaji Alvaro Negredo, aliyecheza Nusu Fainali dhidi ya Ureni.

Huku Fernando Torres akiwa na dalili za kuachwa benchi sambamba na Fernando Llorente ambaye hajacheza hata mechi moja, Cesc Fabregas anaweza kuanza kwa pamoja na Andres Iniesta and David Silva.

Beki wa Italia, Ignazio Abate, ambaye alikosa Nusu Fainali dhidi ya Ujerumani kwa matatizo ya misuli, anatarajiwa kuwa fiti katika fainali ya leo, wakati beki mwenzake wa pembeni Christian Maggio naye atakuwapo baada ya kumaliza adhabu yake ya mechi moja.
 
Kocha Cesare Prandelli anaweza kutumia mfumo ule ule alioutumia kuiteketeza Ujerumani wa 3-5-2  na kikosi kile kile alichotumia katika mechi ya ufunguzi dhidi ya Hispania.
Nyota wa AC Milan, Riccardo Montolivo anaweza kuanza mbele ya Thiago Motta baada ya kucheza vema katika Nusu Fainali.
JE WAJUA?

  • Hispania inapigania kuwa timu ya kwanza katika historia ya michuano mikubwa, kutwaa mataji matatu mfululizo (Euro 2008,Kombe la Dunia 2010 na Euro 2012) na ya kwanza kutetea taji la Henri Delaunay.
  • La Roja wanacheza fainali ya nne ya michuano hii, baada ya awali kucheza 1964, 1984, 2008 na 2012. Walifungwa fainali moja tu (1984).
  • Kikosi cha Vicente del Bosque kimecheza mechi 19 za mashindano bila kufungwa na kimeshinda mechi zake tisa zilizopita za ntoano katika mashindano makubwa, bila kuruhusu nyavu zao kuguswa.
  • Pia wameshinda mechi tano dhidi ya Italia, ikiwemo ile waliyoshinda kwa matuta katika Robo Fainali ya Euro 2008. Rekodi yao katika mechi 11 zilizopita n i kushinda moja, sare tano na kufungwa tanoi.
  • Italia wanaingia kwenye fainali ya tatu mfululizo ya michuano hii ya Ulya (1968, 2000 na 2012). They have won just one (1968).
  • The Azzurri inakutana na Hispania mwa ra ya 31, huku rekodi yao ikionyesha wameshinda mechi 10, sare 12, na kufungwa 8. Mechi ya mwisho kuzikutanisha timu hizo ilikuwa ua ufunguzi wa michuano hii na walitoka sare ya 1-1.
  • Italia imeshinda mechi moja ru katika mechi zao nane zilizopita, lakini hajakosa mechi yoyote ya mashindano chini ya  Cesare Prandelli.
  • Akiwa amefugana mawili dhidi ya Ujerumani, Mario Balotelli (pichani kuli) anakuwa Mtaliano wa kwanza kufunga mabao matatu mashindayo hata

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .