UFUNGUZI WA OLIMPIKI 2012!
Posted in
No comments
Saturday, July 28, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Saa chache kabla ya michuano
hii kufunguliwa jana shirika la habari la Reuters limeripoti kwamba kuna
uwezekano watu elfu 67 ambao ni sehemu ya watakaohudhuria wakaibiwa
simu zao za mkononi au kuzipoteza kutokana na ishu mbalimbali zikiwezo
za kihalifu.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :