VODACOM NA NOKIA YAINGIA KWENYE USHIRIKIANO KUPUNGUZA GHARAMA ZA SIMU
Posted in
No comments
Monday, July 23, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Mkuu
wa Kitengo cha Bidhaa wa Vodacom Tanzania Bw. Mngopelinye Kiwanga,
akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa simu aina ya Nokia
Asha 200 na Nokia Asha 203, Nokia Asha 200 inayouzwa kwa shilingi
149,999 pamoja na muda wa bure wa maongezi na MB 125.Simu ya Nokia Asha
302 inayouzwa kwa shilingi 219,000 wateja watapata MB 500 kwa miezi
sita mfululizo baada ya kuweka muda wa maongezi wa Shilingi 1000, 2000,
au 5000 huku huduma ya facebook, twitter na Wikipedia zikiendelea kuwa
bure,wanaoshuhudia kushoto ni Meneja Mkuu wa Nokia Tanzania Samson
Mwajwala na kulia ni Meneja bidhaa wa Vodacom Elihuruma Ngowi.
— in Dar es Salaam.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :