VODACOM TANZANIA WAKABIDHI ZAWADI ZA LIGI KUU
                      Posted in 
                      
                            No comments
                          
Sunday, July 1, 2012
                      By 
                      danielmjema.blogspot.com
Mwesigwa katibu Mkuu wa Yanga akipokea hundi ya Yanga  
 kutoka kwa mgeni rasmi Waziri Mkuu mstaafu Fredirick 
Sumaye katika hafla ya kukabidhi zawadi iliyofanyika kwenye Hoteli ya 
Double Tree jijini Dar es salaam, katikati ni mkuu wa masoko wa kampuni 
ya Vodacom Kevin Twisa
Mzee Said wa Azam FC akipokea
 hundi ya Azam FC kutoka kwa mgeni rasmi Waziri Mkuu mstaafu Fredirick 
Sumaye katika hafla ya kukabidhi zawadi iliyofanyika kwenye Hoteli ya 
Double Tree jijini Dar es salaam, katikati ni mkuu wa masoko wa kampuni 
ya Vodacom Kevin Twisa
Katibu
 Mkuu wa TFF, Angetile Osiah kulia, katikati Mkuu wa Masoko Vodacom 
Tanzania Kevin Twisa wakiwa na Waziri Mkuu mstaafu Fredirick Sumaye
Wadau wa Yanga, katika picha ya pamoja na Mh Sumaye
Wadau wa Simba SC katika picha ya pamoja na Mh Sumaye
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
 
 
 
 







 
 
0 MAOINI :