REDD'S MISS ILALA KESHO
Posted in
No comments
Thursday, September 6, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Meneja
wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro kulia akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu fainali ya redds Miss kanda ya Ilala
inayotarajia kufanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa nyumbani uliopo
namnga jijini Dar Es Salaam .katikati ni Mratibu wa shindano hilo Juma
Madabila na Msanii Steven Nyerere. Picha kwa hisani ya Intellectuals
Communications Limited
Shughuli itafanyika uwanja wa nje, kwenye Parking za TRANIC PLAZA/ NYUMBANI LOUNGEVIP Ticket ni Tsh.50,000/= kila meza inakaa watu 8
Siti za kawaida ni Tsh.20,000/= zitauzwa mlangoni Ommy Dimpoz atakuwepo mzee wa "Baadaye"
Banana Zorro na B-BAND
Na baada ya hapo patakuwa na after Party itakayofanyika Nyumbani Lounge ndani
LADY JAY - DEE na MACHOZI BAND
Kwa kufungia usiku huo.
Karibuni
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :