Usaili Wa Maisha Plus Unaendelea
Posted in
No comments
Wednesday, September 5, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Mama Shujaa wa Chakula akionyesha ushujaa wa chakula
Usaili
wa Maisha Plus unaendelea mkoani Mwanza; baada ya hapa timu nzima
itaelekea Morogoro katika wilaya ya Mvomero na siku inayofuata itaibukia
Igula, Mkoani Iringa. "Tukitoka Iringa tunahamia Sumbawanga huko
Kantalamba then tutarudi Mbeya, baadaye tutaelekea Kilwa kisha Masasi na
Zanzibar itafuatia. Dar es Salaam itakuwa ya mwisho ambayo usaili wake
utafanyika Septemba 22 na 23," anasema Masoud Kipanya. Fomu za kushiriki
shindano hili kwa Dar es Salaam zinapatikana katikaDuka la KP lililopo Millenium Towers Kijitonyama. Kama unahitaji fomu Piga namba 0717104303 uelekezwe.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako



0 MAOINI :