UNYAMA!!: KICHANGA KIMEKUTWA KIKIWA KIMETUPWA CHINI YA MLIMA KIVESI, KIJENGE JUU - ARUSHA
Posted in
No comments
Friday, October 26, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
| Mtoto mwenye umri wa siku moja mwenye jinsia ya kike aliyetupwa akiwa ndani ya ndoo kama anavyoonekena katika picha ya juu na chini |
| baadhi ya watu waliojitokeza kushangaa tukio hilo la mtoto huyo akiwa ndani ya ndoo |
| Afisa wa polisi akiuchukua mwili wa mtoto huyo uliofungwa na kanga uliootolewa na msamaria mwema mda mfupi baada ya kutaarifiwa kuhusu tukio hilo |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :