HIVI NDIVYO MAZISHI YA SHARO MILIONEA YALIVYOKUWA MCHANA HUU
Posted in
No comments
Wednesday, November 28, 2012
By
danielmjema.blogspot.com

Mwili wa marehemu Sharo Millionea ndio umelala humu, nivigumu kuamini

Mama Yake Hussein Ramadhani-Sharo Millionea Akilia Kwa Uchungu
Nape Nnauye akizungumza na wananchi waliohudhuria msibani
Mwili wa marehemu Sharo Millionea ukiwa umebebwa
Meneja wa Sharo anayejulikana kwa jina la HK akizungumza

Mwili wa marehemu Sharo Millionea ndio umelala humu, nivigumu kuamini
Mama mzani wa Marehemu Sharo Millionea Akilia Kwa Uchungu
Rafiki
mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono
wakielekea kwenye mazishi mapema mchana wa leo,Muheza mkoani Tanga.
Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana wa leo kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele
Nape akizungumza na wananchi waliohudhuria msibani
sehemu ya umati wa waombolezaji katika msiba wa Sharo milionea
Mwili wa marehemu Sharo Millionea ukiwa umebebwa
Rafiki
mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono
wakielekea kwenye mazishi mapema mchana wa leo,Muheza mkoani Tanga.
Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana wa leo kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele Meneja wa Sharo anayejulikana kwa jina la HK akizungumza

Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele

Nyota wa comedian nchini, Hussein Mkiety Sharomillionea alivyokuwa enzi za uhai wake.
REST IN PEACE SHAROMILIONEA(BORN 1985-DIED 2012)
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :