AFCON 2013 NA NYOTA 17 KUTOKA EPL
Posted in
No comments
Friday, January 18, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
Katika
Michuano ya Mataifa ya Afrika mwaka 2013 wachezaji 16 watakuwa mwezi mzima
nchini Afrika Kusini kushiriki michuano hiyo inayokua kwa kasi.
Jumamosi ya Januari 19, 2013 kazi itakuwa kubwa
katika mechi za ufunguzi na itamalizika pale Februari 10, 2013.
Kundi
A
MODIBO DIARA (WESTHAM, MALI)
Kiungo wa Aston Villa Karim El Ahmadi na
Winga Oussa Assaidi anayechezea klabu ya Liverpool watakuwa viwanjani na timu
yao ya taifa Morocco.
Wamorocco
watapambana vikali ili kuipita Angola. Kiungo wa Evertoon Steven Pienaar amestaafu kuichezea timu ya Taifa ya Afrika
kusini hivyo hapo kesho hawatakuwa naye dhidi ya Cape Verde katika AFCON 2013.
Kundi B
Kiungo wa Klabu ya West Brom Albion na
timu ya taifa ya DRC Yuossouf Mulumbu atashuka uwanjani katika michuano hiyo,
wakati Mali itakuwa ikijivunia kuwa na nyota wa QPR Samba Diakite.
Pia
Mshambuliaji wa West Ham United Modibo Maiga atakuwemo katika kikosi hicho cha
Mali. Kwa malengo ya kusonga mbele zaidi na sio kuishia kwenye makundi.
Kundi C
Mabingwa watetezi Zambia watakuwa na
Emmanuel Mayuka beki wa Klabu ya Southampton
akiwa huko atakutana na Mpinzani wake katika AFCON 2013 Nigeria.
Nigeria
yenyewe imewakutanisha John Obi Mikel na Victor Moses wote kutoka klabu ya Chelsea.
Kundi D
Emmanuel Adebayor ni mchezaji wa Ligi Kuu
ya England ambayo upo kwenye kundi hili kwa ajili ya timu ya Taifa la Togo.
Pia wapo
kina Yaya Toure, Kolo Toure na Abdul Razak kutoka klabu ya Man City, wakati huo
huo ina kina Cheick Tiote kiungo huyo wa Newcastle, Arouna Kone Mshambuliaji wa
Klabu ya Wigan na Arsenal inawakilishwa na Gervinho. LAKINI HATOWEZA
KUSAHAULIKA Didier Drogba mchazaji wa Zamnai wa Chelsea ya Uingereza.
Itakumbumbwa
kwamba hatua za makundi zitachezwa kuanzia Januari 19 – 30 mwaka huu.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :