DHAMANA YA LULU KUANZA KUSIKILIZWA IJUMAA HII
Posted in
No comments
Wednesday, January 23, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
Mahakama ya kanda ya Dar es Salaam,
itaanza kulisikiliza rasmi ombi la msanii wa Filamu nchini, Elizabeth
Michael Januari 25 mwaka huu.
Elizabeth ambaye anajulikana zaidi kwa
jina la Lulu, anatuhumiwa kumuua bila kukusudia msanii mwenzake wa
filamu Steven Kanumba April 7 mwaka jana.
Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe la leo,
kesi itasikilizwa kwa Jaji Zainabu Mruke, na ombi la kusikilizwa kwa
dhamana hiyo limetoka kwa mawakili wa Lulu ambao ni Peter Kibatala,
kenedy Fungamtama na Massawe Fulgence.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :