DAKIKA 90 KATIKA PICHA ZILIZOTIBUA SHEREHE YA YANGA ZINAVYONIKUMBUSHA MECHI YA LIVERPOOL NA AC MILAN,(2005) UNAKUMBUKA?
Posted in
No comments
Monday, October 21, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
Kikosi cha kwanza lilichoanza cha Simba.
Kikosi cha Yanga cha kwanza kilichoongoza mabao 3-0 hadi dk45 za kwanza.
Amisi Tambwe (kushoto) akimiliki mpira huku akisongwa na wachezaji wa Yanga Hamis Kiiza(kulia) na David Luhende.
Mashabiki wa Yanga wakifurahi baada ya kuongoza mabao3-0 dk45 za kwanza dhidi ya Simba.
Mashabiki wa Simba ilikuwa zamu yao dk45 za mwisho kufurahi mabao 3 ya haraka baada ya kasi ya Vijana wao.
Kocha Mkuu wa Simba Abdallah
Kibaden,(kushoto) na Msaidizi wake Jamhuri Kihwelo na Meneja Niko
Nyagawa(katikati) hawaamini kilichotokea katika dk45 za kwanza.
Kocha Mkuu wa Simba Abdallah Kibaden,Msaidizi wake Jamhuri Kihwelo(kulia) hali ngumu kabla ya mapumziko.
Wachezaji Gilbert Kaze (kulia) aliyefunga bao la 3 akiwaongoza wezake kushangilia kwenye Jukwaa la Yanga.
Mchezaji Gilbert Kaze AKISUJUDI baada ya kuipatia timu yake bao la 3 na kufanya sare dhidi ya Yanga.
Kocha Msaidizi Jamhuri Kihweloakinywa maji baada ya Vijana wake kufanya kweli.
Mmoja wa mashabiki wa Simba alizimika baada ya Simba kukomboa mabao 2 kabla ya la 3
Kocha Mkuu wa Simba Abdallah Kibaden
akwaangalia vijana wake (hawaonekani pichani) baada ya kuwachosha Wazee
wa Yanga na kufuta uteja.
Mwamuzi Israel Nkongo akimuonesha
kadi ya njano mchezaji Betram Mwombeki kwa madai ya kutumia nguvu.Pamoja
hiyo Athuman Idd Chuji alitumia nguvu sana dhidi ya Ramadhan Singano
Mess wa Simba akatolewa nje kwa maumivu lakini Nkongo alipeta rafu za
Simba aliziona za Yanga hakuziona.
Mashabiki wa Yanga waliongoza kwa kuzimia japo timu yao iliongoza dk 45 za mwanzo kulikuwa na jambo gani?.
Mshabiki akibebwa na Msalaba Mwekundu.
Mshabiki wa Yanga Bonge la Mama hoi je kulikuwa na nini?.
Kocha Msaidizi Jamhuri Kihweloakinywa maji baada ya Vijana wake kufanya kweli.
Mipira mitano ya Yanga ilifunikwa na kuwekewa Ulinzi mkali na mheshimiwa huyu katikati ya Uwanja wa Taifa kabla mchezo kuanza.
Umati wa Mashabiki,Wepenzi wakiwa nje
ya Uwanja wa Taifa Dar es Salaam wakijiandaa kuingia Uwanjani
kushuhudia mpambano wa Simba na Yanga.
Baadhi ya watu walikamatwa kwa madai ya kuuza tiketi za mchezo wa Simba na Yanga.
Mashabiki wa Yanga wakiwajeli mashabiki
wa simba baada ya kufungwa goli 3-0 kipindi cha kwanza wakati wa mchezo
wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam jana.
Baadhi ya Mbwembwe za mashabiki wa Simba
Mmoja wa mashabiki wa Simba aliyezimia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
Mmoja wa mashabiki wa Yanga aliyezimia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga.
Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa wameinama baada ya kufungwa goli la pili na Yanga.
Wachezaji wa Yanga wakilaumiana baada ya Simba kusawazisha goli la kwanza.
mashabiki wa Simba wakishangilia baada ya timu yao kusawazisha goli tatu dhidi ya Yanga.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :