ALIYEMUUWA MAMA YAKE UFOO SARO AZIKWA

Posted in
No comments
Friday, October 18, 2013 By danielmjema.blogspot.com

Shangazi wa Marehemu, Sista Pensia Mushi, Akitoa heshima za mwisho katika jeneza la Marehemu Anthery Mushi, aliyefariki kwa kujipiga risasi baada ya kumjeruhi mwandishi wa ITV, Ufoo Saro na Kumuua mama yake Ufoo kabla ya kujipiga Risasi, jijini Dar es salaam, Oktoba 13 mwaka huu.
Baadhi ya Ndugu wa Marehemu, Anthery Mushi, aliyefariki kwa kujipiga risasi baada ya kumjeruhi mwandishi wa ITV, Ufoo Saro na Kumuua mama yake Ufoo kabla ya kujipiga Risasi, jijini Dar es salaam, Oktoba 13 mwaka huu.
Baadhi ya Waombolezaji wakiwa wamebeba Msalaba wa Marehemu, Anthery Mushi, aliyefariki kwa kujipiga risasi baada ya kumjeruhi mwandishi wa ITV, Ufoo Saro na Kumuua mama yake Ufoo kabla ya kujipiga Risasi, jijini Dar es salaam, Oktoba 13 mwaka huu. Mushi alimezikwa leo, katika kijiji cha Ongoma, kata ya Uru Magharibi, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro
Baadhi wa Ndugu wa Marehemu, Anthery Mushi wakitoa heshima ya mwisho kwa mwili wa marehemu muda mfupi kabla ya kuzikwa leo, mazishi yaliyofanyika katika kijijji cha Ongoma, kata ya Uru Magharibi, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Mama mzazi wa Marehemu Anthery Andrew Mushi, Mama Anna Mushi akitoa  heshima za mwisho kwa mwanaye muda mfupi kabla ya kuzikwa katika  kijiji cha Ongoma, kata ya Uru, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Mushi alifariki dunia Oktoba 13 mwaka huu, jijini Dar es salaam baada  ya kumjeruhi Ufoo Saro na kumuua mama yake Ufoo kabla ya kujipiga  risasi na kufa papo hapo.

Mke wa Kaka ya Marehemu akitoa heshima ya mwisho kwa mwili wa marehemu muda mfupi kabla ya kuzikwa leo, mazishi yaliyofanyika katika kijijji cha Ongoma, kata ya Uru Magharibi, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.   

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani

EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .