TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI KWENYE MASHINDANO YA TENESI YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI
Posted in
No comments
Sunday, January 13, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
| Wachezaji wa Tanzania wakiwa na makocha wao na kikombe walichotwaa |
| Mama Inger Njau akipokea zawadi kwa kufanikisha mashindano ya tenesi kwa kipindi cha miaka miwili |
| Mchezaji Georgina Kaindoah akiwa na wazazi wake ambao wamekuwa wakimsapoti kipindi chote cha mashindano, Georgina alifanikiwa kufika fainali na kushika nafasi nya pili kwa wasichana U-14 |
| Wachezaji Elina Mfinanga na Zuhura Mfinaga wakiwa na Katibu wa Tenesi Tanzania Inger Njau baada ya kuvalishwa medali za dhahabu kwa kushinda mchezo wa wachezaji wawili |
| Emanuel Mally akicheza mchezo wa fainali uliodumu takribani saa nne lakini alipoteza |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :