HONGERA SANA MDAU WETU KAMBI MBWANA KWA KUTIMIZA MIAKA KADHAAA YA KUZALIWA-HAPPY BIRTHDAY!!!!!

Posted in
No comments
Thursday, March 14, 2013 By danielmjema.blogspot.com







MUNGU ANANIPENDA NA ANAKUPENDA PIA

"LEO ni siku yangu ya kuzaliwa. Wakati naifurahia siku hii kwa kumshukuru Mungu wa peekee, Nawashukuru wote waliochangia kwa namna moja ama nyingine katika maisha yangu yooote. Hakika, kuna wakati tunakwaluzana, lakini tunakaa na kuyamaliza kibinadamu.

Nawashukuru sana na muendelee kuniunga mkono. Aidha, nikiwa kama binadamu sitakatai kuchukiwa na anayependa hivyo, ila asinichukie bila sababu za msingi. Kwenye makosa naombwa nisemwe au kuelekezwa." 
KUTOKA TAIFA LETU.com tunasema HAPPY BIRTHDAY KAKA KAMBI MBWANA!!

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .