Posted in
By
danielmjema.blogspot.com
 |
| Kona la mwisho ukiingia uwanjani |
 |
| Uzio wa Uwanja wa Ushirika |
 |
| Mabango kila kona ya mji wa Moshi |
 |
| Simba Cement kama kawa |
 |
| Jukwaa la burudani na utoaji wa tuzo ukimaliziwa mapema leo |
 |
| maji ni muhimu-ahsante Bonite |
 |
| Wanariadha wakijiandikisha na kuwasikiliza viongozi wa Riadha akiwemo Filbert Bayi ( hayumo pichani) |
 |
| Mafundi na waratibu wakiweka sawa sehemu ya Race Course |
 |
| Sehemu ya Jukwaa Kuu likiwa tayari |
 |
| Magari ya Vinywaji vikiwasili Uwanjani Hapo |
 |
| Viongozi wa chama cha Riadha wakiweka mambo sawa kabla ya mbio hizo zitakazotimka kesho |
 |
| Mafundi wakiendelea kuweka mambo sawa katika eneo la jukwaa kuu, kwenye uwanja wa Ushirika Moshi |
0 MAOINI :