WASHIRIKI WA REDDS MISS MOSHI 2013 WATEMBELEA BONITE NA PANONE LEO;WAREMBO HAO KUCHUANA USIKU HUU KUMSAKA MALIKIA WA REDDS MISS MOSHI 2013!
Posted in
No comments
Saturday, May 18, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
| Mwakilishi wa Kampuni ya vinywaji baridi ya cocacola akitoa maelezo kwa washiriki wa Redds Miss Moshi 2013, waliotembelea kiwanda hicho leo |
| pozi ni balaaaa |
| Mwakilishi wa Bonite akitoa maelezo klwa warembo wa Redds Miss Moshi |
| Warembo hao wakipata ladhaa ya kinywaji cha Coca cola leo |
| Coca cola hoyeeeee!! |
| Karibuni Panone |
| Mshiriki Jacky Mushi akiwa katika Supermarket Ya Panone inayodhamini mashindano ya Rdds Miss Moshi 2013 |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :