TAIFA STARS NA TEMBO WA IVORY COAST uso kwa uso MAZOEZINI TAIFA...

Posted in
No comments
Sunday, June 16, 2013 By danielmjema.blogspot.com

IMEWEKWA JUNI 15, 2013 SAA11:40 JIONI

Mchua misuli wa timu ya soka ya taifa ya Ivory Coast, kulia akimnyoosha viungo kiungo wa timu hiyo, Yaya Toure wakati wa mazoezi yao jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kesho wa Kundi C dhidi ya wenyeji Tanzania kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil utakaopigwa kuanzia saa 9:00 Alasiri kwenye Uwanja huo huo. Mwingine ni Gervinho.

Haruna Kone

Mbwana Samatta wa Tanzania, akiugulia maumivu baada ya kupigwa na mpira chini ya kitovu jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Ivory Coast walianza mazoezi saa 10:00 jioni wakaipisha Taifa Stars baada ya saa moja. 

Mrisho Ngassa

Juma Kaseja

Kevin Yondan kulia na Amri Kiemba kushoto 

Kutoka kulia Khamis Mcha 'Vialli', Simon Msuva, Frank Domayo, Mwinyi Kazimoto na Vincent Barnabas

Kutoka kulia Thomas Ulimwengu, Salum Abubakar na Erasto Nyoni

Kutoka kulia Abdul Razak, Haruna Kone na Gervinho

Solomon Kalou kushoto na mpira

Ivory Coast wakijifua
Simon Msuva kushoto akikabiliana na Aggrey Morris

Gervinho akimtoka Abdul Razak

Kevin Yondan akitafuta mbinu za kumtoka Mudathir Yahya kulia

Mbwana Samatta akiwatoka Aggrey Morris na Mudathir Yahya

Mbwana Samatta amempa mwili Nadir Haroub 'Cannavaro' ili Simon Msuva afunge

Vincent Barnabas akimtoka Mrisho Ngassa

Ngassa akikabiliana na Haruna Athumani aliyelala...kulia Barnabas

Mbwana Samatta na Kevin Yondan walitanua vifua juu ya goli kwa mazoezi ya viungo

Mwinyi Kazimoto akionyesha ufundi mazoezini Starsa

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .