BREAKING NEWS:WATU 15 WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA MLIPUKO WA BOMU KWENYE HOTELI MBILI MJINI MOGADISHU-SOMALIA

Posted in
No comments
Saturday, September 7, 2013 By danielmjema.blogspot.com

Mogadishu, Somalia
Polisi nchini Somalia wanasema mashambulio mawili ya mabomu mjini Mogadishu yameuwa watu kama 15.
 Polisi walieleza kuwa mabomu hayo yaliripuka kwenye mkahawa uitwao The Village ambao unapendwa na waandishi wa habari na maafisa wa vikosi vya usalama, pamoja na hoteli Muna, ambako wabunge wengi hukaa.

Hoteli zote mbili ziko karibu na ikulu ya rais.
Hakuna aliyedai kuhusika na mashambulio hayo, lakini hoteli zote mbili zimewahi kushambuliwa na wapiganaji wa Kiislamu, al Shabab.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .