KINANA AKAGUA MPAKA WA TANZANIA NA MALAWI WILAYANI ILEJE

Posted in
No comments
Thursday, November 28, 2013 By danielmjema.blogspot.com

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipita katika daraja la mto Songwe,  kutoka upande wa Isongole, Ileja mkoani Mbeya, kwenda Ibilima, Wilaya ya Chitipa upande wa Malawi, alipofika wilayani humo jana akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao namna ya kuzipatia ufumbuzi kero hizo, mkoani Mbeya. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Rosemary Senyamule akimweleza changamoto kuhusu mpaka huo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro wakitoka katika ofisi ya Uhamiaji, Isongole wilayani Ileje mkoani Mbeya jana.
Eneo la Malawi, linalopakana na Tanzania wilayani Ileje mkoani Mbeya

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Siasa na Uhisiano wa Kimataifa,Dk. Asha-Rose Migiro wakiwasalimia wananchi wa Kata ya Isongole, Ileje mkoa wa Mbeya, jana baada ya kukagua mpaka wa Tanzania na Malawi. (Picha zote na Bashir Nkoromo)

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .