MKURUGENZI WA TANAPA AKUTANA NA WAONGOZA WATALII KILIMANJARO
Posted in
No comments
Sunday, November 17, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
| Mkurugenzi mkuuwa shirika la hifadhi za taifa (KINAPA) Allan Kijazi
akizungumza katika mkutano mkuu wa chama cha waongoza watalii
uliofanyika katika ukumbi wa YMCA. |
| Makamu mwenyekiti wa chama cha waongoza watalii,(KGA) Wilfredy Moshi, ambaye ni Mtanzania wa Kwanza kupanda mlima Everest, akizungumza katika mkutano huo. |
| Mgeni rasmi katika mkutano huo mkurugenzi wa KINAPA Allan Kijazi akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa cha ma cha waongoza watalii.KGA. |
| Washiriki katika mkutano huo ambao ni waongoza watalii katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro. |
| Washiriki katika mkutano huo ambao ni waongoza watalii katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :