AZAM FC WAFANYA KUFURU TENA, BASI LIPYA LINA TV KILA SITI
Posted in
No comments
Tuesday, December 31, 2013
By
danielmjema.blogspot.com

Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC
ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa
visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la
Mapinduzi.
Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.
![]() |
| Kitu cha maana |
![]() |
| Kila siti ina TV |
![]() |
| Kuna friji |
![]() |
||
| Kuna choo |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako





0 MAOINI :