MR DAR HANDSOME 2013/2014, HUYU HAPA NA HIZI NDIO SIRI ZAKE.
Posted in
No comments
Thursday, December 19, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
Lotta Mollel Lotah Mollel ambaye ndiye Mr Dar handsome 2013/2014 , amesema siri ya mafanikio yake katika mitindo ni kujiamini, na kujituma kwa bidii na kuwa serious sana katika kile anachokifanya.
Lotta amefunguka wakati akizungumza na blog hii ya delduero.blogspot.com kwa njia ya simu toka Dar es salaam kuhusiana na siri ya mafanikio yake katika mitindo pamoja na modeling ambayo huwa anafanya . amesema kubwa zaidi analoamini katika maisha ni kujiamini zaidi na kujituma .
"modeling kama modeling patty lazima kwanza kujituma , kujiamani ,na kuwa serious sana kwa kila unachoafanya na hii imenisaidia sana mimi kufika hapa nilipofika kwasababu wapo wengi wanafanya modeling lakini kutokana nakukosa hayo niliyoyasema , wamekuwa wakiishia njiani. Binafsi namshukuru sana mungu kwasababu najitambua na kuthamini kile ninachofanya na nimekuwa nikijiamini sana na kujituma ndo maana nimekuwa nikifanikiwa "alisema Lottah Mollel
Lotta Mollel. nilipomuuliza kuhusiana na kupata support kutoka kwenye familia, ndugu na marafiki kwa anachokifanya , alisema kitu anachomshukuru mungu ni support kubwa ambayo amekuwa akiiipata toka kwa familia yake , ndugu na marafiki zake wa karibu.
"kwakweli namshukuru mungu sana juu ya hili patty , maana mimi home wananipa support sana tena ya kutosha katika kile nifanyacho tofauti na familia nyingine ambazo wangeweza kuona kuwa nafanya uhuni "alisema lottah
Lotta Mollel
Lottah amewahi kushiriki mashindano
mawili mwaka huu wa 2013 ambapo alishiriki katika THE BEST MALE
MODEL OF THE YEAR 2013 /2014 , na lingine ni TANZANIA NEXT HANDSOME
MAN 2013/2014 , ambapo mashindano yote hayo alifanikiwa kushinda . Akielezea
washiriki wengine walioshiriki katika mashindano hayo pamoja naye ,
lottah amesema wote aliwaelewa vizuri sana na walikuwa wazuri sana na
wengine pia walikuwa ni tishio kwake lakini alijiamini vyakutosha na
ndio maana akaweza kufanikiwa kushinda yote mawili kwa mwaka huu 2013
na pia ndiye mshindi wa Swahili Fashion Week 2013 . " you
have to know that , mashindano kama mashindano ukiwa kama
mshiriki lazima utakuwa na vigezo stahiki. mimi , washiriki wenznagu
wote niliwaelewa sana na wote naweza sema nii wazuri , lakini kama
ujuavyo patty hakuna shindnao lenye wasshindiw awili , always mshindi
lazima apatikae "alisema lottah Mollel
chanzo:http://delduero.blogspot.com
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :