MAOFISA UGANI WA KATA WILAYANI HAI, WAKABIDHIWA BAISKELI 15
Posted in
No comments
Thursday, December 19, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
| Diwani wa kata ya Weruweru, iliyoko katika wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Diwani Adris Mandrai akikabidhi baiskeli kwa mmoja wa maofisa Ugani wa Kata zote za wilaya ya Hai, leo. |
| Baadhi ya baiskeli zilizokabidhiwa kwa maafisa Ugani wa Kata za wilaya ya Hai leo. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :