AL SHABAAB YAPATA KIPIGO KENYA
Posted in
No comments
Friday, January 10, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Wanamgambo wa Al Shabaab
Aliongeza kwamba miongoni mwa waliofariki ni makamanda kadhaa wa kundi hilo.Al Shabaab hata hivyo hawajatoa tamko lolote kuhusu shambulizi hilo.Kadhalika Al Shabaab walikiri kufanya shambulizi la kigaidi mjini Nairobi mwaka jana dhidi ya jengo la kifahari la Westgate na kuwaua watu 70.
Kenya imekuwa ikipambana na wapiganaji wa kundi hilo tangu mwaka 2011 Oktoba wanajeshi wake walipojiunga rasmi na vikosi vya muungano wa Afrika ambavyo tayari vilikuwa nchini Somalia kwa kazi hiyo.
Rais Uhuru Kenyatta ameahidi kuwa majeshi ya Kenya yataendelea va vita dhidi ya wanamgambao hao tangu waliposhambulia Kenya mwaka jana.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :