LORI LA LAPINDUKA KIMARA WATU WANAJISEVIA MAFUTA KWA NDOO
Posted in
No comments
Wednesday, January 15, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
LORI
la mafuta ambalo namba za usajili hazijatambuliwa wala kampuni
inayolimiki, limepinduka mchana huu maeneo ya Kimara-Stop Over jijini
Dar es Salaam.
Kwa
mujibu wa shuhuda wa ajali hiyo, kondakta ameokolewa isipokuwa dereva
ambaye inasadikiwa amekufa bado mwili wake umekandamizwa na lori hilo,
polisi kwa kushirikiana na wananchi wanafanya jitihada za kumtoa.
Shuhuda
huyo amesema vijana ‘wahuni’ wa maeneo hayo, badala ya kusaidia kuokoa
wanaiba mafuta kwa kutumia ndoo na kwamba eneo hilo limetawaliwa na fujo
na msongamano mkubwa wa magari.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :