MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA MWANDISHI WA HABARI LEO, FORTUNATA RINGO MKOANI KILIMANJARO LEO

Posted in
No comments
Monday, January 13, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Jenela la aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Habari Leo, Mkoani Manyara, Fortunata Ringo Tayari kwa safari yake ya mwili, katika Maziko yaliyofanyika Leo, Kijijini kwao, katika Kijiji cha Mdawi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Taifa Letu.com)
Wazazi wa Marehemu, Fortunata Ringo, ambaye alikuwa ni Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo, Mkoani Manyara,wakifuatilia Ibada ya Maziko ya Mwandishi huyo, ibada iliyofanyika katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Taifa Letu.com)
Baadhi ya Ndugu Jamaa na Marafiki, wakiongozwa na Mwandishi wa Habari wa Mwananchi, Joseph Lyimo (aliyevaa shati la kijivu), wakiwa wamebeba Jeneza la Marehemu Fortunata Ringo, aliyekuwa Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara, Mwandishi huyo amezikwa leo, katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Taifa Letu.com)
Mwili wa Marehemu Fortunata Ringo, aliyekuwa Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara, ukishushwa katika Kaburi lake tayari kwa Safari ya Mwisho. Mwandishi huyo amezikwa leo, katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Taifa Letu.com)
Mwili wa Marehemu Fortunata Ringo, aliyekuwa Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara, ukishushwa katika Kaburi lake tayari kwa Safari ya Mwisho. Mwandishi huyo amezikwa leo, katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Taifa Letu.com)
Baadhi ya Waombolezaji wakifukia Mwili wa Marehemu Fortunta Ringo, ambaye enzi za Uhai wake alikuwa ni Mwandishi  wa Gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara, Mwandishi huyo amezikwa leo, katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Taifa Letu.com)
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi Mkoani Manyara, Joseph Lyimo, akishiriki kuweka shada la Maua katika Kaburi la aliyekuwa Mwandishi wa Habari Leo, Mkoani Manyara, Fortunata Ringo, aliyezikwa Leo, katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Taifa Letu.com)

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .