BAA YA MAKANYAGA BINGWA WA SAFARI LAGER NYAMA CHOMA 2014 MOSHI
Posted in
No comments
Tuesday, March 18, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mchoma nyama mkuu wa Baa ya Makanyaga akishangilia ubingwa wake katika shindano la mwaka huu la Safari Lager Nyama choma 2014. |
Mkuu wa Magereza mkoani Kilimanjaro (RPO), ACP Hamis Nkubasi, akimkabidhi Mchoma nyama mkuu wa baa ya Makanyaga, Rogarth Frimini. |
Mwakilishi wa Baa ya Forest, Thadeus Mushi (kushoto)akishangiliana mfanyakazi mwenzake baada ya kuibuka mshindi wa pili katika shindano la mwaka huu la Safari Lager nyama choma 2014, mjini Moshi. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :