MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE WILAYANI MONDULI
No comments
Sunday, April 13, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akishiriki misa maalum ya kumbukumbu ya miaka
30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe
Sokoine iliyofanyika nyumbani kwake Monduli. Kulia kwake ni Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenera Mkungara, na motto
wa Marehemu sokoine Ndugu Joseph Sokoine.
Baadhi wa Waheshimiwa wabunge na Wabunge wakifuatilia misa kwa makini.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamini William Mkapa, Spika wa Bunge
Mhe. Anne Makinda na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowasa, wakishiriki
Misa maalum ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine.
Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Rais wa Jamhuri wa Tanzania
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili kushiriki misa ya
kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine.
Rais
wa Jamhuri wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameketi na
wajane wa hayati Edward Moringe Sokoine pamoja na baadhi ya viongozi wa
kitaifa katika misa ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine.
Mhe. Rais akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamini William Mkapa akiweka shada la
maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward
Moringe Sokoine.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim nae akiweka shada la maua.
Mhe. Lowasa nae akiweka shada.
Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiweka shada la maua katika kaburi la
aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine.
Mwakilishi wa Ujumbe wa wajumbe wa Bunge Maalum Mhe. Paul kimiti nae akiweka shada la Maua
Habari Zingine
- jaydee: hii ndio siri ya kufanya vizuri miaka yote
- Maskini Mr. Nice azushiwa kifo kwenye Social Media
- Jionee jinsi Kuwait walivyoanikiwa kuivuta bahari nchi kavu ili kutengeneza mji mpya
- IAAF yawaongezea adhabu Kiplagat na wenzake
- RAIS WA RAIDHA TANZANIA, ATEULIWA KUWA MJUMBE WA SEKRETARIETI YA USHAURI WA MIKAKATI YA MAWASILIANO YA IAAF
- Hatua za mwisho za Maandalizi Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2015
- BARABARA KADHAA KUFUNGWA KUHAKIKISHA USALAMA WA WANARIADHA MBIO ZA KILIMANJARO MARATHON
- Mashujaa Band kuburudisha Kilimanjaro Marathon
- MAANDALIZI YANAHITAJIKA MBIO ZA 'SOKOINE DAY'
- YALIYOJIRI SOKOINE MARATHON 2014
- MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE WILAYANI MONDULI
- Guzo mitandaoni: Thamani ya Barua ya Mohammad Ali kwa Mandela
- Wasiwasi DR Congo muhula wa Kabila ukifikia kikomo
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :