By
danielmjema.blogspot.com
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
(Mb.) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka wa fedha 2014/2015
mjini Dodoma tarehe 27 Mei 2014 |
|
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John
Haule (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na Naibu Katibu Mkuu, Balozi Rajabu
Gamaha (wa kwanza kulia) pamoja na Mke wa Waziri, Mama Dorcas Membe na
Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Mohammed Maundi wakifuatilia
kwa makini Hotuba ilikuwa ikitolewa na Mhe. Membe (hayupo pichani)
Bungeni. |
|
Katibu
Mtendajii wa Jumuiya ya Maedneleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika, Dkt.
Stergomena Tax (katikati) akiwa na wageni wengine wakifutilia Hotuba ya
Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa kwa mwaka 2014/2015 |
|
Baadhi ya Wawakilishi kutoka Balozi za nchi mbalimbali zilizopo hapa nchini wakifuatilia Hotuba ya Mhe. Membe (hayupo pichani) |
|
Mwakilishi
kutoka Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Mhe. Betty Machangu (Mb.) akiwasilisha Hotuba kwa niaba ya
Kamati hiyo |
|
Mhe.
Membe (kushoto) akiwa na Naibu wake Mhe. Dkt. Mahadhii Juma Maalim
(Mb.) wakifuatilia hotuba wakati Mhe. Machangu (hayupo pichani)
akiwasilisha |
|
Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje kutoka Kambi ya Upinzani, Mhe. Ezekiel Wenje nae akiwasilisha hotuba ya kambi yake. |
|
Mhe. Membe akiongozana na Mhe. Wenje kutoka Bungeni mara baada ya kipindi cha mchana kumalizika. |
|
Mhe.
Membe, Mama Dorcas Membe (wa nne kutoka kushoto) katika picha ya pamoja
na Dkt. Tax wakiwa nje ya Viwanja vya Bunge mara baada ya kipindi cha
mchana kumalizika |
0 MAOINI :