CHAMA CHA UTABIBU WA DAWA ASILIA TANZANIA CHATOA SOMO KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM
No comments
Friday, May 16, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mlezi
wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME),Mzee Kingunge
Ngombale Mwiru (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa
vyombo vya habari kuhusu tiba asilia, May 15,2014 katika ukumbi wa
mikutano NIMR jijini Dar es Salaam,ambapo amewataka Watanzania
kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie
ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili (kulia),Mwenyekiti wa Chama
cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani.
Lucey
Samwel, kutoka kitengo cha Tiba asilia Wizara ya Afya akiwakilisha mada
ya sera ya Afya, Sheria ya Tiba Asili na Tiba Mbadala, pamoja na taarifa
mbalimbali zinazohusu Tiba Asilia na udhaifu katika usimamizi wa sheria
ya TATM ya mwaka 2002.
Mkurugenzi kutoka Paseko T.H.P, Othman Shem.akielezea kuhusiana na Tiba Asili Tanzania na changamoto zake.
Mwanasheria kutoka AUDA, Onesimo Munuo (kushoto), akielezea mapungifu ya utekelezaji ya Tiba asili na mbadala.
Wahariri na waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali walihudhuria katika mafunzo hayo.
Mlezi
wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale.
Akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe mara baada ya kumalizika kwa
mafunzo hayo.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :